African Translation .com
Tel. (800) 664-0603
Translation beyond words

 




Swahili


Somali


Tunaongea Lugha Yako

African Translation ni kampuni ambaye inapeyana huduma za lugha zinayohusisha jamii. Mbali na kupeyana huduma ya utafsiri na utambuzi, inahusika na kuelemisha jamii inaongea Kiingereza kidogo au haisemi Kiingereza haki ya lugha yao.

“Ukiwa unatafuta huduma ya utafsiri ya haraka na ya hali ya juu, kwa bei nafuu, tuko pahali pema zaidi kukupa suluhisho
inayolengana na mahitaji yako.” 
African Translation

Utafsiri

Utafsiri, msingi wake nikubadilisha maneno ya lugha moja kwa lugha nyingine. Lakini mara nyingi huna haja tu nakutafsiri maneno lakini unataka kutafsiri fikira au wazo.

Wafasiri Wetu:
 Niwanachama wa (Tangamano ya wafasiri wa Marekani) ATA

 Wameshuhudishwa na mahakama

 Wametafsiri walao maneno lakhi moja

 Wanatafsiri tu kwa lugha ya mama

 Wamehitimu vyema kwa eneo yao ya utaalamu

 Wana uzoefu wa utenzi wa kazi kwa mambo wanayotafsiri


Utambuzi

Watambuzi wa African Translation ni wataalam ambaye wameshuhudishwa na wenye elimu kamili ambaye, wanaelewa kabisa lugha yanotafsiri na yanoyo ongea. Wana uwezo wa kukumbuka wa hali ya juu, na maarifa ya biashara na wanaelewa mila zinayoambatana.

Kuratibisha utambuzi wa ana kwa ana ni rahisi. Tupe tu:

  • Lugha unayolenga ya  kueleza

  • Tarehe na wakati

  • Mambo inayohusika

  • Mahali

  • Jina na namba ya simu au pager ya mhusika mahali hapo

Wasiliana nasi:

African Translation LLC.
1250 Connecticut Avenue, NW
Suite 200
Washington, DC 20037
Toll Free: (800) 664-0603
Fax: (800) 572-4394
info@africantranslation.com

 

  

 


© African Translation LLC
1250 Connecticut Avenue, NW - Suite 200
Washington, DC 20037

Toll Free: (800) 664-0603
Fax: (800) 572-4394
info@africantranslation.com